SIRI YA UTAJIRI NDANI YA KAMPUNI
YA NEPTUNUS
1. Neptunus ni nini?
Ni kampuni
iliyo anzishwa mwaka 1989 baada ya viwanda vitatu vya umma kuungana.
Viwanda hivi hujishugulisha na kutengeneza dawa za
mahospitalini(chemical drugs) na dawa za mimea(natural drugs) yani dawa
asili. Viwanda hivi ni NEPSTAR CHAIN DRUGSTORE CO. LTD kipo new york stock exchange marekani, NEPTUNUS BIO-ENGINEERING CO LTD kipo shenzhen stock exchange na NEPTUNUS INTERLOG BIOTECHNIQUE CO LTD kipo hongkong. Hayo
matatu ni masoko ya hisa ya kampuni ya neptunus. Kampuni hii ilianza
kuzalisha dawa kabisa za kutibu magonjwa sugu na virutubisho mbalimbali
ambazo leo ni changamoto kubwa duniani kwani mwaka 1998 kampuni hii
ilitunikiwa tuzo ya GMP(Great manufacturer Company) hii ni kwa sababu
ilitunikiwa tuzo miaka mitatu mfululizo za NOBEL kutokana na bidhaa ya
GOLDEN OYSTER na GINKARDIO suluhisho la pressure. Ndio mana nina penda
kukuambia kua kampuni ina bidhaa bora jaribu kuchunguza kampuni zote
zinazofanya MLM hapa Tanzania. Hazina tuzo hii ya GMP nina uhakika
bidhaa ziko kutimiza malengo ya mteja na mfanya biashara anae taka
kutimiza ndoto.
Mwaka 2010
kampuni hii iliweka mikakati kuja kuisaidia AFRICA katika nyanja ya
KIUCHUMI na kutokomeza MAGONJWA SUGU. Ndugu yangu kama wewe unahitaji
pesa na kutimiza ndoto karibu utumie bidhaa hizi.
Kampuni hii
ilikaa chini na kupanga MIKAKATI chini ya usimamizi wa Ndug ZANG SMIN
ambaye ni kijana mdogo aliyezaliwa mwaka 1969 na ni tajiri mkubwa sana
china na anae miliki kampuni kubwa bora china nzima.
Bwana ZANG
SMINI alikaa chini na kuangalia makampuni mengine yaliyoko africa
yalikuja na mtazamo gani na udhaifu gani katika bidhaa na biashara.
Iliingia africa ikajenga makao makuu kila kanda GHANA,SOUTH AFRICA,KENYA
na Ikasambaa nchi zingine.
MAREKEBISHO YALIYOFANYWA NA KAMPUNI YA NEPTUNUS AMBAYO WATU BADO HAWAJAGUNDUA.
Watu wengi
tunajiingiza katika biashara ya mtandao bila kutengeneza msingi mzuri wa
biashara na bila kuchunguza kampuni unayofanya nayo kazi. Leo hii
nakupa siri ya utajili iliyopo neptunus haijagundulika.
1. Ni
kampuni ambayo inatengeneza dawa katika package za kisasa yan SOFT
GEL,CAPSULES,TABLETS. Dawa zote hizi zinatokana na mimea,
matunda,samaki,na mboga mboga. Hizi ni 100% natural hazina chemical
kabisa pia hawatumii vyakula na matunda ya kutengenezwa. Wanatumia mimea
asilia. Hatuna MAJI,MAJANI YA CHAI NA BIDHAA ZINGINE ZA KUONGEZA MAUMBILE.
2. Ni
kampuni ya pekee yenye DAWA kabisa za kutibu magonjwa TABIA wakati
kampuni zingine zote zina VIRUTUBISHO TU. Njoo utumie dawa zetu kufanya
biashara hakika HUTAJUTA. Dawa zetu zipo nyingi kila dawa na ugonjwa
wake.
3. Ni
kampuni ya pekee unaweza kutumia shilingi 26000 na ukaanza kufanya
biashara yako kwa kuingia ubia na kupewa ruhusa ya kufanya kazi na
kampuni ya neptunus. Kampuni zingine zina gharama kubwa hivyo ndio mana
ika amua ije na mfumo huu. Pia unaweza kununya bidhaa hata moja moja sio
package tu km makampuni mengine.
FAIDA YA KUWA MSAMBAZAJI WA BIDHAA HIZI NA KUWA MFANYA BIASHARA WA MLM.
Watu wengi
sana wamekata tamaa na biashara hii ya MLM hii ni kwa sababu ya kukosea
kampuni ya kufanya nayo kazi. Sasa leo nakwambia uhondo wa neptunus
karibu sana tufundishane.
1. Ukisha jiunga utaruhusiwa kutumia bidhaa za neptunus kuuza kwa watu na kujipatia faida ya reja reja 20%
2.
Unaruhusiwa kuajili watu wengi kadri uwezavyo kwani hao watu watalipwa
na kampuni sio wewe. Hivyo we toa ajila kadri uwezavyo na uwafundishe
hao wafanye biashara. Kampuni hii itakulipa kwa watu ulio wadhamini
kwenye biashara kama manager wa team yako.
3. Utalipwa
bonus kila mwisho wa mwezi asilimia 5-45 ya PESA ULIYOTUMIA KUNUNUA
BIDHAA MWEZI HUO WEWE MWENYEWE. Pia utalipwa asilimia 0-45 ya pesa
ambayo team yako imetumia kununua katika mwezi huo. Hapa ndipo kuna
utamu rahaaaaaa ndugu zangu. Hivi kweli ndoto zako za kuwa manager
zinatimia kwa kutumia 26000/-
4. Kampuni
hii kadri unavyopanda cheo itafikia kipindi unapunguza nguvu za kununua
mzigo. Kwa mfano kampuni zingine kadri unavyokua na kipato kikubwa na
gharama za kukaa katika level zinaongezeka. Sisi huku ni full bata ndio
mana hatu hangaiki juani na barabarani kutafuta watu wa kununua product
zetu kwani product ziko pale kunifanya mimi nifanye biashara ya MTANDAO.
5. Pia
masharti ya kupanda level na kuongeza kipato ni marahisi kabisa hata mtu
mwenye kipato kidogo anaweza kupiga business na akafanikiwa.
6. Pia kampuni itakulipa milioni 20 kama kiinua mgongo kwa kufanya kazi ndani ya mwaka mmoja na ukafika ngazi ya 7.
7. Pia kampuni itakupa kiinua mgongo tena cha shilingi milioni 40 ukifanya nayo kazi kwa miaka miwili na ukafikia level 8.
JUMLA YA KIINUA MGONGO CHAKO NI MILLIONI 60 NDANI YA MIAKA 2
HII PESA NI MBALI NA BONUS NA FAIDA YA REJAREJA.
Leo hii watu kama sisi ni wanafunzi lakini tumewekeza kwa watu. Je wewe unafikra potofu kuwa huwezi kufanikiwa kisa una haya
6. Pia kampuni itakulipa milioni 20 kama kiinua mgongo kwa kufanya kazi ndani ya mwaka mmoja na ukafika ngazi ya 7.
7. Pia kampuni itakupa kiinua mgongo tena cha shilingi milioni 40 ukifanya nayo kazi kwa miaka miwili na ukafikia level 8.
JUMLA YA KIINUA MGONGO CHAKO NI MILLIONI 60 NDANI YA MIAKA 2
HII PESA NI MBALI NA BONUS NA FAIDA YA REJAREJA.
Leo hii watu kama sisi ni wanafunzi lakini tumewekeza kwa watu. Je wewe unafikra potofu kuwa huwezi kufanikiwa kisa una haya
~Elimu ndogo
~Huna mshahara au mtaji
~Mama wa nyumbani
~huna elimu ya afya.
ACHA FIKRA POTOFU NEPTUNUS KUNA MAFUNZO MAALUMU HUTOLEWA NDIO MANA WATU WAMEFANIKIWA NA WANAENDELEA KUFANIKIWA.
Watu wengi tunaangalia kampuni inayosifika kwa mabaya ndio mana kila mtu haipendi.
NEPTUNUS TANZANIA CO LTD
Ndio kampuni
itakayo timiza ndoto zako ACHANA na kampuni zinazokufanya uwe mtumwa
kushinda barabarani unatafuta watu wa kuuzia bidhaa. Sisi huku
tunatautwa na kupigiwa magoti.
NJOO TUJIFUNZE KAMA KWELI UNA NDOTO KUBWA ZA MAISHA YAKO NA UMECHUKIA MAISHA YAKO UNAYO ISHI NAYO
~SIHITAJI MTU MWENYE NDOTO NDOGO ZA MAISHA~
Kama kweli
unapenda kubadilisha maisha yako kwa hio pesa ya 26000 njoo utatimiza
ndoto ndani ya malengo yako. Watu wengi tunazikimbia fursa na KUSEMA
HUWEZI KUUZA DAWA. Hahahaha uliza ufundishwe BIASHARA YA MLM SIO YA KUTAABIKA NA DAWA NDIO MANA INA ITWA BIASHARA YA MTANDAO ACHA WOGA KUBALI KUFUNDISHWA ULE PESA NDG YANGU.
0767074124
Ni add FACEBOOK: KB MKUMBO
INSTAGRAM: youngkingboaz
BLOG: doctorboaz.blogspot.com
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.