~~SIRI YA KUPIGA HATUA KUELEKEA MAFANIKIO~~
1. Uwe na uwezo wa kufanya maamuzi wewe mwenyewe sio kila kitu lazima ushirikishe mtu. Mafanikio yako ndio yatamshirikisha katika fursa.
2. Uwe na uwezo wa kuwasoma marafiki zako wana mtazamo gani kuhusu maisha na ujue namna ya kuishi nao bila ya kutengeneza daraja kati yako na yeye.
3. Uwe na uwezo wa kutafuta pesa kubwa kwa kutumia pesa ndogo. Acha fikra za kutaka kukopa ndipo uanzishe biashara
4. Jifunze kutengeneza miradi mingi uwezavyo bila kubagua kitengo ulicho bobea. Acha kukimbia fursa jifunze kujua kulikoni.
5. Kubali kufundishwa kuhusu biashara unayo ahirikishwa kwani kuishi na watu wenye mtazamo hasi ktk maisha mara zote hutu ambukiza nasi tuwaze kila kitu hakiwezekani. But today you have to say YES to your life,dreams, and Goals.
Naiweka mikononi kazi yangu na kazi za marafiki zangu ninacho washauri CHANGES OF YOUR SUCCESS COMES FROM WITHIN.
CHANGE TODAY TO LIVE YOUR LIFE THAT YOU DESERVE,DON'T LET THEIR NEGATIVE ATTITUDE BECOME YOUR REALIT
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.