0


REMEMBER~~It is not money that makes you reach,it is business SKILL~~
~E means employee
~S means self employed
~B means business owner
~I means investor.
Hiyo charti yote inakamilisha cash flow quadrant.
Cashflow quadrant ni mwongozi ambao utakufundisha namna gani pesa yako inayobaki baada ya matumizi yako inavyofanya kazi.
Kuna pande kuu mbili za hii quadrant.
~Upande wa kushoto E/S
~Upande wa kulia-B/I


Katika biashara watu wote walioko upande wa kushoto ni MASIKINI KIPESA YANI HAWANA UHURU WA KIFEDHA NA HUTUMIKISHWA NA PESA.
Pia watu wote walioko upande wa kushoto ndio matajiri wakubwa hapa duniani na ndo wanafurahia uhuru wa pesa maisha yao yote.
~ZITAZAME SIFA ZA WATU HAWA~~
1. E/S
~Hawa wanajipatia pesa ya kujikimu kimaisha tu. Akiacha kazi mkwanja nao unakata.
~Ni wahanga wa USHURU katika biashara zao.
~Huwezi kumrithisha mtu cheo chako ulichonacho. Ukifa na cheo kinakufa familia inabaki masikini.
~Huna uhuru wa kufurahia pesa yako. Muda wote uko bize na kutafuta pesa yani unakuwa mtumwa wa pesa.
~Jitihada zako ndio mafanikio.
~Hakuna uhuru wa pesa. Yani huna uwezo wa kununua chochote utakacho yani no financial freedom
~Unahitajika kufanya kazi asilimia 100 peke yako bila msaada.

2. B/I
~Pesa huongezeka kila siku hakuna kikomo cha pesa.
~Wanakwepa kodi. Mfano makampuni hupewa muda wa majaribio hata miaka mitano.
~Unafanya kazi muda wa miaka michache unaacha pesa ndo inaanza kukutumikia mpaka uzeeni.
~Unaweza kurithisha kizazi kimoja hadi kingine.
~Kuna uhuru wa muda na pesa. Unaweza kwenda popote utakapo na unaweza kununua chochote utakacho.
~Unafanya asilimia moja ya kazi ya watu 100. Hivyo kuna watu wanafanya kazi kwa ajili yako.
~~JE UNAFIKILI UNAWEZA FANIKIWA BILA KUFUNDISHWA~~
Watu wengi hatupendi kufundishwa ndio mana watu wengi tunajikuta tuko katika biadhara lakini bado tuko upande wa kushoto ya jedwali letu. Je unahitaji kuhamia upande wa kulia wa jedwali?? Je huna mtaji mkubwa wa kukufanya uhamie upande wa MATAJIRI DUNIANI upande wa kulia?? Karibuni tujifunze mbinu ili uweze kuhama uende upande wa kulia.
~~Ukitaka pesa ikutumikie na ufurahie uhuru wa pesa jitahidi uhame upande wa kushoto wa jedwali uhamie upande wa kulia~~
~~Mkumbo 0767074124~~
 —

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top