Steven John anayesumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya tumbo. AMETOKA WAPI?John ni mkazi wa Kijiji cha Sokoni One, mkoani Arusha, amekua akisumbuliwa na ugonjwa huo kwa kipindi cha miaka miwili bila kupata nafuu na hali yake inazidi kubadilika kila m…
AWALI NILIJUA NINA UJAUZITO KUMBE SIYO
Flora Samweli Luvinga (24) anyesumbuliwa na uvimbe mkubwa tumboni. Mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Kipanga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Flora Samweli Luvinga (24) hali yake ipo hatari baada ya kuvimba tumbo na kumsababishia maumivi makali.“Aw…

WASOMI TUTAKUFA MASIKINI USIPOZINGATIA HAYA. HAKIKA DUNIA HII WAISHIO NI WAFANYA BIASHARA.

Ukipata nafasi ya kusoma na kuajiriwa, jamii zetu nyingi za Kiafrika zinakuwa na matazamio makubwa kuliko uwezo wako halisi. Kama unatokea kwenye familia zetu za kawaida(za hali ya mtu); wakisikia upo kazini na unalipwa tsh laki tano basi wanaona un…

BARUA YA WAZI KWA VIJANA AMBAO BADO HAMJAOA NA HAMJACHUMBIA RASMI..!!

Ninae mchungaji anaenilea kiroho Rev. Mnyamlapi, yeye amewahi kunipa ‘guiding principle’ unapofika muda wa kuchumbia na kuoa. Alisema, “Kadiri unavyozidi kusoma na unavyozidi kufanikiwa kiuchumi na kimaisha ndivyo ugumu wa kumpata mke mwema unavyozi…

SIRI KUBWA ZA UTAJIRI HAPA DUNIANI,ZIJUE UJIKWAMUE KIUCHUMI RAFIKI YANGU

MAKUNDI MAKUU MANNE HAPA DUNIANI, JE WEWE UPO KUNDI GANI? Watu wengi hatujitambui tunaishi bila kujua maisha yetu binafsi yanakwenda wapi. Kutojitambua huko ndio chanzo cha wewe kubaki kila siku unahudumiwa na mama au baba kila kitu ukihisi bado mto…

SIRI YA UTAJIRI JIBU LA KWA NINI WATU WENGINE NI MASIKINI NA WENGINE NI MATAJIRI

Watu wengi wanajiuliza, “Siri ya utajiri ni nini?” Jee ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri? Siri kubwa ya utajiri ni kujifunza elimu ya namna ya kutafuta mtaji, kuwekeza kwa busara kwa namna ambayo daima panakuwa na ziada na faida. K…

~~IF YOU WANT MONEY DONT BE TOO MUCH EMOTIONAL WITH MONEY~~

1. UNAFIKIRI TAKUKURU ITAMALIZA JANGA LA RUSHWA MAKAZINI?2.UNAFIKIRI MIGOMO NDO SULUHISHO LA MISHAHARA MIKUBWA HAPA TANZANIA?-Rushwa haiwezi kuisha ni kwa sababu zifuatazo:-1. Wafanyakazi ni wavivu sana. Kwani yeye alifikili akipata ajira basi pesa …
